Ina majibu mengi,kila mwanaume ana maumbile yake na uwezo wake,lakini kwa uchache inategemea=umri,vyakula,hali ya hewa,mazoea,mtu unayekutana naye ,usafi,mahala penyewe(mazingira)uzoefu,uchakavu,vikolezo,ufundi,kujituma na urithi,magonjwa,.kwa ujumla hakuna fomula ila ni kawaida kutokana na umri au mazoea kuja haraka mara moja na baada ya saa kadhaa kutokana na hali halisia na uwezo wa mwili na akili inavyokutuma /kukubaliana na hali