Hii imekaaje?

vngenge

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
540
Reaction score
271
Nashindwa kuelewa kila msichana ninae do nae, cku tukiweka zana pembeni tu lazima anase mimba na hii haijalishi yupo kwenye danger au safe period. Mpaka sasa huyu msichana wa nane na wote inatokea hivyo kama kuna anejua sababu plz. Nikiri tu kuwa nimehusika katika kuzinyofoa but moja ilishindikana kwa ushauri wa daktari nikaiacha na sasa kidume cha nguvu. kama kuna anejua sababu ya hii kitu Mpaka sasa sijui nifanyeje!
 
Mh! mpaka nimeogopa yani mimba saba zote umenyofoa? Yawezekana wanawake unaodu nao hawapo makini na siku zao anaweza kwambia ni salama kumbe hajahesabu vizuri. Inaonekana unafanya na wanawake tofautitofauti so ni vigumu kuwa na uhakika kama ni siku salama au la?
 
mungu wangu hao watoto ungeniletea mi niwalee
 
hao watoto utawakumbuka cku 1, jua kuna watu ndoa zao zinalegalega kwa kukosa watoto, ushaur ukimpa tena mtu mimba lea huyo mtoto utajua thaman yake hapo baadae.
 
jamani mi nnavotafuta mtoto usiku na mchana ata sipati afu nyie mnawanyofoa?Mungu anawaona
 
umenyofoa mimba saba? Wewe ni msaidizi wa israeli?

Si kweli kuwa mki-do safe days mimba inatungwa, unless wewe na hao mabinti hamjui mzunguko ukoje...

Au kama una-withdrawal inawezekana unachelewa!!!

By the way tumia condom, kucheza peku na wanawake nane unajiweka kwenye hatari ya maambukizi
 
Ilipotokea kwa mara ya kwanza nikahisi fix, tukatoa. Mara ya 2 tukatoa ya 3 ikashindikana akazaa tukaachana, msichana wa2 ikanasa ya kwanza akaitoa, ya pili akaitoa hii ya tatu hali ilikuwa mbaya bt sir God alinuru.. Hali imekuwa hivyo kwa wengine mpaka naogopa sasa. suala la zana binafs inakuwa ngumu ku2mia baada miezi kadhaa mkishazoeana cjui kwa wengin
 
Mwanzoni ckuwa na uhakika nikahisi labda wanajichanganya lkn baada ya ku study trend nimestaajabu na kujiuliza inawezekanaje? Kuhusu kuwithdraw hakuna hiyo ki2 kwani cgus kabisa ndani ya danger zone! Finaly hii idadi c kwa wakati mmoja jamani najipenda eti
 
Tubu ndugu yangu. la sivyo JEHANAMU ya moto inakusubiri.
 

Utakua una roho ya kikatili sana aisee. . . 7 times?
 
Duuh unamoyo wa chuma wewe? 7 umenyofoa? Utakuja kulijibia hilo one day.
 
vngenge, kuwa na uwezo wa kumpa mwanamke mimba haituhakikiishii wewe ni mwanamme.

Maamuzi unayoyafanya ndo tunajua wewe ni mwanamme au wa kiume.

Kwa kufanya kosa lile lile 7 times, aisee wewe ni wa kaliba ya aina yake

mwanamme mmmh, i doubt it.
 
Kama uliyetembea nae alikuwa katika "safe period" na halafu akapata mimba!! Nasikitika kukutaarifu hiyo mimba haikuwa yako! Fantasy.
 
Kama mama yako angetoa mimba yako leo hii ungekuwepo? Afadhali sikujui, unajisifu umetoa mimba saba?Acha niishie hapa nina hasira sana naogopa kupigwa BAN.
 
Huyu ni wakala wa shetani alafu unjisifia kabisa umenyofoa mimba saba hivi kama na mama yako angekunyofoa leo hii ungekuwa wapi wewe na hao wanawake wako unowanyofoa wote ni wapumbavu msiokuwa na hofu ya Mungu siku ipo inakuja mtakapoenda kujibu izo roho za hao watoto mlizoziangamiza nyie ni wauaji kama wauaji wengine[
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…