Hii imekaaje? ? ?

Hii imekaaje? ? ?

Mtu anakuangalia sana humjui unajikuta unamjua sababu tu jinsi anavokuangalia si mara moja! Wa jinsia tofauti! Hasemi chochote Ilishanitokea mazingira ya shule, tulikuwa tukikutana mida ya kusoma, ikanilazimu nianze kumkwepa kwa vitendo ikiwemo kuhama eneo la kusoma, shida ikaja tunapokutana ghafla kama kulikuwa na vitu mikononi vinadondoka! Nacheka sana nikikumbuka ningetengeneza movie kwa hii story nimefupisha tu! Imekaaje hii jamani? Lol. .
Humjui then unakuta umeshamjua.... gadem
Nikikumbuka: Orayt... hapo unamaanisha ukikumbuka yaliyojiri kabla "hujamjua" siyo?
Story umeifupisha...? Kwamba kuna kilicho na kinachoendelea baada ya "kujuana"

Sisi wazazi hatuwezi kuja hapa kukushauri eti hii imekaaje. Matokeo ya wenzio ndio yametoka umeona walivyofeli?
Ushauri: Achana na mapenzi shuleni......... SOMA!
Kutizamana then kujuana huwa hakuishi..... shauri zako!
 
Twande Twande Twandeee,bado mtoto mdogo sana wewe kuanza kututaka miongozo ya mapenzi hapa jamvini. Soma kijana mapenzi yapo tu utayakuta kwa muda na wakati sahihi
 
Poleni sana jamani mi ni mtu mzima sasa shule niliyoongelea hapo ni chuo elimu ya juu ni enzi hizo! Nacheka nikikumbuka matukio yale kila tunapoonana! Asprin hatukuwai kujuana zaidi ya hapo unavozani wewe ila sasa he became not a stranger anymore!
 
Stori ina dhana nzuri
Ime haieleweki

Kongosho nimerudia kusoma hata sioni pa kuelekeza zaidi! Au iam not a good stor:yawn:y teller au sijataka kuiweka ktk hali wazi sana. .pole mwaya
 
Back
Top Bottom