Hii imekaaje? ? ?

Humjui then unakuta umeshamjua.... gadem
Nikikumbuka: Orayt... hapo unamaanisha ukikumbuka yaliyojiri kabla "hujamjua" siyo?
Story umeifupisha...? Kwamba kuna kilicho na kinachoendelea baada ya "kujuana"

Sisi wazazi hatuwezi kuja hapa kukushauri eti hii imekaaje. Matokeo ya wenzio ndio yametoka umeona walivyofeli?
Ushauri: Achana na mapenzi shuleni......... SOMA!
Kutizamana then kujuana huwa hakuishi..... shauri zako!
 
Twande Twande Twandeee,bado mtoto mdogo sana wewe kuanza kututaka miongozo ya mapenzi hapa jamvini. Soma kijana mapenzi yapo tu utayakuta kwa muda na wakati sahihi
 
Poleni sana jamani mi ni mtu mzima sasa shule niliyoongelea hapo ni chuo elimu ya juu ni enzi hizo! Nacheka nikikumbuka matukio yale kila tunapoonana! Asprin hatukuwai kujuana zaidi ya hapo unavozani wewe ila sasa he became not a stranger anymore!
 
Stori ina dhana nzuri
Ime haieleweki

Kongosho nimerudia kusoma hata sioni pa kuelekeza zaidi! Au iam not a good stor:yawn:y teller au sijataka kuiweka ktk hali wazi sana. .pole mwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…