T Tiger JF-Expert Member Joined Nov 30, 2007 Posts 1,747 Reaction score 386 Mar 24, 2010 #1 Mi nilitumiwa nikaambiwa hutiaji kujua kichina ila tazama mpaka mwisho? Siyo siri nimeshindwa kugundua ujanja uliotumika hapa. Sijui wenzangu. http://www.youtube.com/watch_popup?v=hwVy_2eOfsE#t=78
Mi nilitumiwa nikaambiwa hutiaji kujua kichina ila tazama mpaka mwisho? Siyo siri nimeshindwa kugundua ujanja uliotumika hapa. Sijui wenzangu. http://www.youtube.com/watch_popup?v=hwVy_2eOfsE#t=78
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 34 Mar 24, 2010 #2 mazingaombwe na viini macho wewe wavijuwa?
Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,168 Reaction score 10,810 Mar 24, 2010 #3 Mmh! niko hoi, hii imepitiliza
cheusimangala JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,585 Reaction score 498 Mar 24, 2010 #4 hahaa ni mtaalamu!kuna program moja inaonesha jinsi magicians wanavyofanya kama hivi!si uchawi wala magic!
hahaa ni mtaalamu!kuna program moja inaonesha jinsi magicians wanavyofanya kama hivi!si uchawi wala magic!