katika hadithi za hapa na pale...Ukweli unauma but it sets us free!!!Huyo anayekiri anaanzaje kukwambia?
Yani najiuliza siku hiyo umekaa na wife/hubby, mara unaanza unajua mpenzi kwa muda mrefu sasa nimekuwa na uhusiano na fulani! Nisamehe shetani alinipitia ila nimetambua kosa langu na sirudii tena! Si ndo kujichongea huko?katika hadithi za hapa na pale...Ukweli unauma but it sets us free!!!