Jamaa kamkataza asinunue si unajua tena mbele ukoHuyu jamaa ametoa nyimbo na underground kama reynavvy na kuweka record ya viewer million mbili ndani ya siku mbili. Sasa hii ya sasa hivi katoa na msani mkubwa tena anajulikana dunia nzima lakini mpaka sasa video hajafikisha million 1 tatizo nn!! Na sasa hivi hawaongelei issu ya viewerView attachment 468153
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda safari hii kaamua asinunue [emoji13]
kabisa yaani!wako bize kufuatilia sakata la madawa ya kulevya....wabongo hawawezi kufuatilia mambo mawili kwa wakati mmoja
Ulichokiandika una kielewa lkn?Sasa hivi hawezi kufanya janjajanja unversal huwa hawapendi ujinga,hii ndio ilikuwa page yake aliyokuwa anatumia ma robort ya Google kuongeza watazamaji[emoji116]
Hii chini ndio page ya sasa ambayo iko chini ya uangalizi wa unversal huku hawezi kutumia ma robort
Umeongea point lakin ungetoa hilo neno marobot ndo ingekuwa points zaid, ukwel ndo huo kwa video hii amebadil ac ndo maana viewers sio wengi coz subscribers pia sio wengi.Sasa hivi hawezi kufanya janjajanja unversal huwa hawapendi ujinga,hii ndio ilikuwa page yake aliyokuwa anatumia ma robort ya Google kuongeza watazamaji[emoji116]
Hii chini ndio page ya sasa ambayo iko chini ya uangalizi wa unversal huku hawezi kutumia ma robort