Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

Usuper star ni mzigo wa miiba! Hasa ukiwa nchi ambayo Ujinga ndo umetawala na watu hawataki kushughulisha vichwa!

TRUMP NI LINI AFRICA TUTATAWALIWA TENA?

PLZ UKIANZA anza Na Tanzania Safari hii tusibebe tena Vyuma
 

Mkuu, nataka nikueleweshe jambo moja. Universal ndio wanaosimamia usambazaji wa kazi yake, Official account ya diamond haki za matangazo pesa inaingia kwa diamond, cz ndio mwenye acc. Diamond kashapewa pesa yake na universal wanafanya biashara yao. Wanauza i tunes na kupitia VEVO account wanaingiza kama unavyoona maybe kuna percent itarudi tena WCB kutokana na makubaliano kama ipo hivyo. Hauwezi ukawa chini ya kampuni kwa ajili ya usambazaji alafu ukatumia account yako alafu pesa iingie kwenye account yako. Kama haujanielewa na hapa mkuu mimi sina msaada tena. Nb ngoma imefanya vizuri sana 1mil views per 5days. Kwa kukusaidia tu. The more account inavyokuwa na suscribers wengi ndio inakuwa more sugested. Kwa mfano unaangalia video ya davido kwenye status kwa chini inapita "watch diamonds platnumz ft neyo" unaweza kuwa na suscribers 400,000+ then ikawa sugested kwa 2m+ kwa watu ambao hawajasuscribe. Ni tofauti na acc yenye suscribera 10,000 ,. Pia na area, kwa mfano unapata suscriber wengi nigeria basi itakuwa sugested zaidi huko, you tube pia wanaipromote account ambayo watu wanai suscribe sana. Nafikili umenielewa
 
Hivi mkijifunza kitunza akiba ya maneno mtapungukiwa na nini.
 

Kabisa!
Tell these fools!
 

Yaan wewe ni poyoyo namba moja duniani..Izo ni account mbili tofauti kabisa..Ya juu ni account yake ya Youtube ambayo ina subscriber wengi na bado ipo mpaka leo..Ya chini ni acount ya VEVO..na alilazimika kufungua account ya vevo kwa kuwa iyo nyimbo ya Marry you ipo chini ya universal...moja ya sharti alilopewa na universal ni kwamba lazima afungue vevo account na ndo maana utaona kwenye iyo account kuna nyimbo moja tuu ya marry you..Kupata viewers M1 kwa siku 5 kwenye new account it shows how much Diamond is powerful. Na kama akitoa nimbo nyingine ambazo hazitakuwa chini ya Universal basi tambua tu kuwa ataziweka kwenye account yake ya Youtube na this tyme kugonga viewers 2M kwa siku moja itakuwa kawaida tuuuu
 
I doubt hata kama VEVO yenyewe unaifahamu vizuri zaidi ya kuona label yake vinginevyo wala usingeleta hiyo hoja!!!! Lakini ikiwa unaamini unaweza kununua organic Views Youtube (Omary Nyembo type!) sitashangaa ukiongea hayo!!!!

FYI, UMG ni mmoja wa wamiliki wa VEVO na distributors walianzisha VEVO ili ku-control kazi wanazosambaza kwakuwa copyright issue kwa Youtube ni kimeo! Sasa unachoongea wewe ni sawa leo Yanga waingie mkataba na Mohammed Trans kuwasafirisha kwenye mechi za mikoani halafu unashangaa kukuta wachezaji wa Yanga wamepanda mabasi ya Mohammed Trans wakati wanaelekea kupiga mechi Morogoro!

Umeona hapo ulipojidhihirishia kwamba suala lenyewe hulifahamu?!

Back to views! Ngoma ambayo ilipata views nyingi ndani ya siku chache ni Salome!! Hivi kuna mtu anaweza kushangaa kwa hili! No offense kwa Wahaya, lakini ulishajaribu kujiuliza jinsi Wahaya walivyokuwa wanapigiana simu kuhabarishana juu ya new version ya Salome?! Au lishawahi kujiuliza hata wale Wahaya wasio wapenzi wa Bongo Flavor walipoamua kuingia Youtube kwa sababu tu ya Salome?!

Hata ukiwa hater, unatakiwa kutumia common sense jombaa!!

Ngoma imebuma! Hebu msome Mondi hapa:


Kumbe KIDOGO ilifikisha 1 Million Views within 4 days!

Mosi, kama Kidogo ili-break records kwa kupata 1 M within 4 days, ina maana video zingine zilikuwa zinafika 1 million kuanzia siku ya 5 na kuendelea!! Marry You imepata 1 Million within 5 Days sawa na video zingine za zamani!!

Lini mmeanza habari za Diamond kununua Views?! Mnaona mnavyoleta viroja?! Kabla ya Kidogo alikuwa anachukua 5+ days kufikisha 1 Million mkawa mnasema ananunua views, leo hii anafikisha 1 Million within 5 days, mnasema VEVO hakuna ujanja ujanja wa kununua views... bwah bwah bwah!!!

But look, Kidogo ilifikisha 1 Million within 4 days wakati watu wimbo ulikuwa haufahamiki kwahiyo kila mtu alikuwa na hamu tofauti na Marry You iliyofahamika zaidi ya mwezi 1 b4! Hapo hatujaongelea drama za drugs ambazo ndo zina-trend hivi sasa!

Lakini pamoja na yote hayo, Marry You imefikisha 1 Million within 5 days! But on top of that, ni #1 Trending since day 1 !!!



Endeleeni kujifurahisha kwamba ngoma imebuma but watch 15,570 Subscribers! Channel ya mpendwa wako hii hapa:


Keep the post! Akishazungukwa idadi ya subcribers ndani ya 3 months usije kuleta simulizi za kununua subscribers manake ushasema hakuna ujanja ujanja VEVO!!!
 
kaka umemaliza kila kitu
 
Mkuu umemzika mzima mzima bila huruma
 
Hawa jamaa wasahalifu vibaya mno!! Leo hapa wanapiga vigele gele kwamba VEVO hakuna janja janja kwavile hawatumii takwimu lakini kesho na keshokutwa wakiona Views zinazidi kumiminika watakuja tena na hoja ya kununua views!!!
Idadi ya viewers inaongezeka kwa kasi sana Jana ilikuwa milioni 1 , Leo tayari imefika 1.2 yaani ndani ya 24 hours tayari laki 2 ,
Nguvu ya diamond no kubwa africa
 
Idadi ya viewers inaongezeka kwa kasi sana Jana ilikuwa milioni 1 , Leo tayari imefika 1.2 yaani ndani ya 24 hours tayari laki 2 ,
Nguvu ya diamond no kubwa africa
Ben Pol ndo ameathirika sana na huu upepo unaoendelea! Wakati walipishana siku moja tu ku-upload video; Diamond yupo #1 trending na Ben Pol yupo #17 na hapa kati kati (1-16) zimejaa issue za drugs na masekeseke yanayoendelea bungeni!!!!
 
Ben Pol ndo ameathirika sana na huu upepo unaoendelea! Wakati walipishana siku moja tu ku-upload video; Diamond yupo #1 trending na Ben Pol yupo #17 na hapa kati kati (1-16) zimejaa issue za drugs na masekeseke yanayoendelea bungeni!!!!
Alafu bwabwa linaropoka eti wimbo umebuma.....wimbo tokea utoke upo namba moja trend kwa YouTube siku ya sits sasa yaan team kiba kwa kujichetua nawakubali
 
Umemaliza kila kitu mkuu, kwa huu uzi asiyekuelewa basi ana mtindio wa ubongo
 
Diamond hana timing,mda wowote anaitwa Centro alafu anatoa wimbo,wai sjui mganga wake wa kule Kimanzichana anamahaurije
 
Diamond ni Diamond kama ilivyo diamond..hata itokee nini!
 
1,435,000 and counting in one week, still # 1 Trending na bado kuna watu wanaota eti ngoma imebuma!!!

Kusoma hatujui, ina maana hata maandishi ukutani hatuyaoni?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…