Sasa sha ajabu ni nini hapo??MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitaki....mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli
BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa
labda mume alifumaniwaKwani mke alitaka nn au talaka
Mtoto alikuwa nafwatilia mchezo mdingi akamindSasa sha ajabu ni nini hapo??
eka ya kwako inayochekeshaMtoto alikuwa nafwatilia mchezo mdingi akamind
eka ya kwako inayochekesha
Soma kichwa cha habarihaichekeshi walaa...