Ni wiki nzima sasa sijapata update toka heslb kuhusu cont' students.naomba aletembelea huko au tetesi atujuze wat iz going on life ni gumu macho yapo heslb!
Kaka upo sahihi kbsa,wadau hasa wa hapo town plz kama mna uptodate mtujuze wa mikoani hali imeshakuwa doro,wazee wa mlimani ndo kimbilio letu hapo kwa newz.tafadhal jama.