hii imetokea dodoma

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
15,602
Reaction score
20,181
Picha ya Mwanafunzi
HATI YA KIAPO YA MWANAFUNZI
Mimi, ……………………………….,Muislamu/Mkristo/Mpagani, nikiwa na akili zangu timamu na bila kushurutishwa, NAAPA NA KUTHIBITISHA kwamba;
1. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa………………….Chuo Kikuu cha Dodoma.
2. Namba yangu ya usajili ya Chuoni ni………………………………………………
3. Nathibitisha kwamba mimi………………………………………………… nimelipa madeni yote ninayodaiwa na Chuo ikiwa ni pamoja na kulipa gharama ya usajili wa kurudi chuoni baada ya kusimamishwa masomo.
4. Naapa kwamba mimi……………………………………………………………….
nitakapokuwa nimesajiliwa upya nitatii sheria za Chuo na kanuni zake,sheria ndogo za wanafunzi na sheria za nchi kwa ujumla. Na kwamba mimi………………………………………………………………………………..nitatumia muda wangu kusoma badala ya kujihusisha au kuhusika kwenye migogoro na siasa chuoni.
5. Mimi………………………………………………………………………………..nitatumia uongozi wa Chuo kupata msaada pindi ninapojikuta kwenye mgogoro nisiokubaliana nao.
6. Kwa kiapo hiki mimi………………………………….……………………………
naahidi iwapo nitashindwa kuzifuata sheria hizo Chuo kiniondoe masomoni mara moja.
7. Natoa kiapo hiki nikitambua Sheria ya Viapo na matamko Sura ya 34 ya Mwaka 1966 [Sura 34 Marejeo 2002]
UTHIBITISHO Nathibitisha kwamba, yale yote yaliyosemwa katika aya ya 1, 2, 3, 4, 5, 6, na 7 hapo juu ni kweli tupu kwa kadri ya uelewa wangu. Imesainiwa hapa …………………….., hii leo tarehe………………………..., Mwezi wa…………….2011.
Saini ya Muapaji…………………….. Jina la Muapaji………………………
Kiapo kimetolewa hapa ………………. na
…………………., ambaye ametambulishwa
Kwangu na ……………………......................
Ambaye nimemfahamu binafsi hii leo
Tarehe……… Mwezi wa………… , 2011
MBELE YANGU
KAMISHNA WA VIAPO
 
Wanataka kuwapumbaza wasomi lakini siyo kuwaibia akili zao na kama wameona hiyo ndiyo njia bora ya kuwadhibiti wapite vyuo vyote wafanye hivyo na kwa wananchi wa kawaida pia
 
Wanataka kuwapumbaza wasomi lakini siyo kuwaibia akili zao na kama wameona hiyo ndiyo njia bora ya kuwadhibiti wapite vyuo vyote wafanye hivyo na kwa wananchi wa kawaida pia
kinachonishangaza mimi ni hapo kwenye red,..dini za wanafunzi zina uhusiano gani??hata ndio mambo ya kuleta udini vyuoni,..inasemekana kuna udini mkubwa udom..
 
nasikia harufu ya udini ..............
 
hapana kwa kila kiapo lazima kuwepo na ishu ya dini jamani
 
mhhh sasa hii nchi ni kama haina mwenyewe sasa anasoma mtu au dini yake?huu ni unyanyasaji mkubwa!!!
 
Wasio na akili watahoji kwa nini imeanza mimi Muislam badala ya Mkristo?
 
Sasa nyinyi kiapo si lazima ijulikane anaapishwa na kitabu gani au aapishwe na katiba, hata bungeni inatumika, tunapoapisha mawaziri, mahakimu, mahakamani hutumika hivyo hivyo na hata unapokwenda kutoa statement polisi unaulizwa dini gani. Mbona mnaifanya kuwa issue kuuubwa kama ndio kwanza inaanza kutumika? Mnashangaza sana!
 
mbona sisi wa bahai na wayahudi tumesahaulika?
 
mbona sisi wa bahai na wayahudi tumesahaulika?

Bahai anaapa kwa kitabu chochote tu. Hata daftari la std 1.

Wayahudi bado hatujaanza kuwasomesha Tanzania, labda wao watusomeshe sisi.
 
ningeweza ningekoment makonz humu yampate aloaandaa hiki kiapo cha kuwakandamiza wanachuo!mmmmmae
 
Nasikia harufu ya Niger delta na Boko haram kwa mbaaali
 
Ukiwa unasoma chuo kikuu ulishawahi kushika bible au mas-hafu weye??

hebu tulia si kila sehemu u-defend hata mambo ya kis****

Polisi tunaweka hadi kabila, mbona hapo hawajaweka

It is intended and for all the wrong reasons

dot think we dont know upuuzi mnaozusha kwenye ajira wakati amari haijatimia
 
Ujaelimika wewe hujui unachoongea kuhusu haki na viapo. Fuatilia hao uliowataja uona viapo vyao vikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…