K Kikwajuni One JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 13,149 Reaction score 6,994 Jun 22, 2023 #1 Imetokea mji gani na mahali gani, na wapi?
Lugoda lwa chuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2023 Posts 202 Reaction score 379 Jun 22, 2023 #2 Elezea vizuri kuna tukio gani hapo! Mi naona trafk tu kasimama nyumbani kwake
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Jun 22, 2023 #3 Hizi ndo habari mtu unatoka na maswali lukuki
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Jun 22, 2023 #4 Acha ujinga pumbavu toa taarifa kamili
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jun 22, 2023 #5 Gari la zima moto limepata ajali
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Jun 22, 2023 #6 Duh...!Hii picha huwezi ielewa kama una sugu kwenye macho!
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Jun 22, 2023 #7 Sa 7 mchana said: Gari la zima moto limepata ajali Click to expand... Ajali ya mwaka hiyo....!!!
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jun 22, 2023 #8 Makubwa
BARD AI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 3,591 Reaction score 8,826 Jun 22, 2023 #9 Carasco Putin said: Acha ujinga pumbavu toa taarifa kamili Click to expand... Sasa kauli mbovu za nini hapo? Kuna watu mna shida sana
Carasco Putin said: Acha ujinga pumbavu toa taarifa kamili Click to expand... Sasa kauli mbovu za nini hapo? Kuna watu mna shida sana
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jun 22, 2023 #10 tupiganie bandari kwanza, haya mengine baadae
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Jun 22, 2023 #11 Hili ni eneo la kikwajuni
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jun 26, 2023 #12 Gari kamgonga nyumba mpaka kamwingilia.