Hii imezidi


Mpaka hapo bado unasubiri nini??

Sepa fastaaaaaaaaaaaaa......:bolt:
 
Una miaka mingapi we binti? Inaelekea bado ni tenager ndio maana unaandika huu uozo humu. Mods waambiwe na waelimishwe humu ni above 18 tu.

Achana na mapenzi ya mtandaoni wewe utakuja juta one day kuwa makini sana na inaonekana hujiependi. Kama vipi njoo kwangu.
 
Hivi inakuaje uwasaliane na mtu mwaka bila kuonana then useme ni mpenzi wako??pole!
 
Maumivu mengine ni ya kujitakia hata sikupi pole...kwahiyo we kuona familia bora ukajiona mjanja???wajinga ndio wali wao...punguza speed mtakuja olewa na mapepo huko fb kwenu
 
du! pole sana....nakuonya jihadhari na jirekebishe utakuja kuleta aibu ktk familia...utampendaje mtu usiyemuona live? au kwa vile alisema yupo Kenya ukaona maujiko?..pole sana...achana naye madume ya simba bado tupo ila jaribu kuwa na utii na heshima utatupata kiulaini
 
Kwahiyo kuishi Kenya na kutoka kwenye familia ya Elite ndo kulikudatisha?
Pole Mwayego, lkn shukuru MUNGU hukumegwa
 
Story yko inafanana yang,kwan mie nltangaza hum kma nampenda wolper nkaomb namb yake,kuna namb nlipata nkaanza kuwasiliana nayo,baadae kuja kungundua co j.wolper.Tafuta mwingne, mie mwenyewe sina.CJUI unaonaje?
 
mimi huwa siamin mapenz ya mtandaoni hata siku moja na kwanza hata siyataki.....uongo mtupu...watu sikuiz kusema ukweli imekuwa kama sumu...lazima udanganywe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…