Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka wabadilishe battery fasta tu mimi nimebadili jana buku 10. Iliishia hadi ikawa inanilazimu kutumia fungua kabisa kwuasha na kufungua gari.View attachment 2982448
Habari za muda huu nilikua nauliza taa hii kwenye nissan dualis in maama gani
Watu wanazikataa sana ila kwa muonekano ziko poa.Mwenye anaeijua hii gari NISSAN DUALS anipe ABC kabla sijajilipua maana nazikubari sana... nataka elimu hasa kwenye utunzaji wa gearbox na engene plugs zake OG ni zipi na wanauzaje kwa moja , pia kuilinda ili isiwake moto nifanyaje.. nawasirisha
Tatizo kubwa ni nini?Watu wanazikataa sana ila kwa muonekano ziko poa.
Betri unatakiwa kubadilisha mwenyewe!Peleka wabadilishe battery fasta tu mimi nimebadili jana buku 10. Iliishia hadi ikawa inanilazimu kutumia fungua kabisa kwuasha na kufungua gari.
Zinaharibiwa na wapumbavu wanaobadilisha radio na kuweka za Android.Tatizo kubwa ni nini?