Hii ina maana gani kwenye Nissan dualis?

Inawezekana 🔑 unayotumia ina tatizo kama kuharibika au unatumia spare key
Kama haiitambui funguo lazima hiyo taa iwake
 
Unatumia ufunguo ambao hau match na system code ''Mismatched Key'' inawezekana kua unatumia spare key au damaged Key,
Pia inawezekana ikawa ni faulty sensor ''Immobilizer system,kuna issue kwenye sensors.
 
Mwenye anaeijua hii gari NISSAN DUALS anipe ABC kabla sijajilipua maana nazikubari sana... nataka elimu hasa kwenye utunzaji wa gearbox na engene plugs zake OG ni zipi na wanauzaje kwa moja , pia kuilinda ili isiwake moto nifanyaje.. nawasirisha
 
Watu wanazikataa sana ila kwa muonekano ziko poa.
 
Peleka wabadilishe battery fasta tu mimi nimebadili jana buku 10. Iliishia hadi ikawa inanilazimu kutumia fungua kabisa kwuasha na kufungua gari.
Betri unatakiwa kubadilisha mwenyewe!
 
Tatizo kubwa ni nini?
Zinaharibiwa na wapumbavu wanaobadilisha radio na kuweka za Android.

Epuka sana kubadilisha radio, kama plug za nyaya zinaingiliana sawa lakini sio kuanza kukata/kuchubua ili kuunga nyaya za Android kienyeji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…