Ukijiunguza na Pasi usiposikia ule moto au maumivu basi ni jibu tosha kuwa una Kisukari?
Ukijikata ama na Kisu au Wembe kwa bahati mbaya kisha hiyo sehemu au hicho Kidonda kisipofunga / ziba ndani ya Siku 3 hadi Siku 5 basi tayari una VVU / UKIMWI a.k.a Dally Kimoko? au ukiugua Malaria halafu ukanywa Fansida na huponi pia ni dalili kuwa umeshaathirika na Ngwengwe / Ukimwi?