Hii ina ukweli wowote?

Hii ina ukweli wowote?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Wakuu habari za lockdown?


Nimekuta sehemu watu wakijadili na kushindwa kufikia muafaka. Swali ni kwamba kwa nini nyumbani unapiga bao 1 kwa mchepuko bao 5? Je, ni kweli? Na inasababishwa na nini?

Tufunguke wakuu.

Stay safe CORONA ipoo
 
Ni suala la kisaikolojia tu. Hata dagaa la ugenini ni laonekana tamu zaidi
 
Hivi wewe kama umezoea kula wali maharage kila siku afu ikatokea umepewa wali sato wenye nazi unadhani utakula kwa kiwango kilekile? Je taste nayo itakua vilevile?
 
Nyumbani ni chakula kilichozoeleka lakn ugenini ni chakula cha kuonjeshwa
 
Back
Top Bottom