Hii inaenda kwa dini zote, tume ya katiba na JK

Hii inaenda kwa dini zote, tume ya katiba na JK

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
Huu ni mtazamo wangu binafsi

Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuunda katiba mpya


TANZANIA SIO TAIFA LA DINI YOYOTE


Tanzania haitumii Quruani wala Biblia kufanya maamuzi kwa sababu sio Taifa la dini yoyote


Tanzania ukienda mahakamani una jinasua au hukumiwa kulingana na SHERIA/KATIBA , sio kulingana na Biblia au Quruani


Nimeandika haya kama ONYO kwa Rais Jakaya Kikwete na Tume ya katiba. Kosa kubwa watakalo fanya kwenye katiba mpya ni kuruhusu upuuzi alio kuwa akiujadili Prof. Lipumba kwenye msikiti mmoja jijini Dar. kuhusu mahakama ya KADHI.


TUNAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI NA SIO BIBLIA WALA QURUANI NA TANZANIA SIO TAIFA LA DINI YOYOTE


Pia, Asante Professor Lipumba kwa information kuhusu kumsaidia JK na uchaguzi wa 2010. Asante!


Mwisho, asante tena Lipumba kwa ushauri wako kuhusu MAHAKAMA YA KADHI kuwepo kwenye katiba mpya, but you are WRONG ON THIS ONE.
 
Nilikuwa namuamini sana Professor Lipumba. Lakini kwa bahati mbaya amenikwaza sana. Nimeumia sana nilipomsikia akieneza udini!!!
 
Back
Top Bottom