Hii inakuaje...Hapa Mjini Jirani Mrembo anakuja kwako zaidi ya mara mbili anakuuliza kama una Mchi/Mtwangio?

Halafu huyu anatukana watu sana huyu jamaa kwa wanao mchana kwa topic zake za kipumbavu
 
Mara paap! Umeamka [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] hiiiiiiiii[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Huyu jamaa sijui akili ndo imejaa haya mambo au nini mana kila siku mada za aina hiyo hiyo
 
Wala usipate tabu mwambie huna mtwangio ila una kinu kama yeye .
Ukimwambia hivyo haji tena huyo.
 
Dunia ni sahani pakua unapenda mambo ya kukashfu mada ya mtu si sawa
However kuna jukwaa kibao sio lazma ukae ktk Uzi flani
Tatizo watu wanahamishia hasira za vyuma kukaza huku
Ukinuna usitake wote tunune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…