Hii inakuaje...Hapa Mjini Jirani Mrembo anakuja kwako zaidi ya mara mbili anakuuliza kama una Mchi/Mtwangio?

Huwa nawaambia humu ndani kuna Mashoga wengi sana. Utawaona jinsi wanavyojitanabaisha.watu hawajalazimishwa kusoma wala ku comment. Kila mtu ana uhuru wa kupenda anachopenda stress zenu mkileta humu mtakutana na wanaume wenye ugwadu halaf mje kuwatandikia jamv
Mara ubakwe na demu, mara mkeo kakufuma, leo uko bachelor jinga kweli
 
Na me nikimwambia msichana una simu Nzuri nikashangaa kesho yake akaninunulia simu nyingine kama ile nitumie... Nilifurahi sana
 
Unaweza kuja kuwa mtunzi mzuri ukijitaidi hila kwa sasa bado
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…