completely mabata mabata ya mtoni..............unakuwa na mahusiano na m2, umemtembelea mara mbili anapoishi, den akikwambia amekumis still anataka uende kwake, ukimwambia twende sehemu nyingne hatak anataka kwake, sasa is he right ukikataa anakasirika anadai unawanaume wengine,.. hii inakuaje? is he in love au interested in other thngs? au anaogopa watu?
ila amejitahidi amekupeleka hata home mi nampa 50%.wengine ni wendo wa invisible tu
eeeh ulikuwa umefichwa wapi nimekutafuta sikukuu yote hupatikani bwanabebii hujambo
habari za eid
<br />Aise napita naenda mtaa wa tatu hapo mkishapata maana ya hapo juu mniambie
ila amejitahidi amekupeleka hata home mi nampa 50%.wengine ni wendo wa invisible tu
at least bwana angepelekwa gest bubu?sio factor kabisa maana hapo anapopaita nyumbani panaweza kuwa ni machinjio tu.
at least bwana angepelekwa gest bubu?
eeeh ulikuwa umefichwa wapi nimekutafuta sikukuu yote hupatikani bwana
<br />
<br />
Kupita sio mpango mkuu, kama unachochote mtupie dadaetu ajue hapo juu, but mi nadhani atakuwa anaogopa watu kama anavodhania mwenye uzi au anaishu ingine anashindwa kuiweka bayana,
dah kumbe ndo zenu lakini poa tu mimi mpenzi wangu akinikaribisha kwake nadhani kwangu anapoint zaidi mtu anakupeleka magest yote mjini bwana aaaghinawezekana jamaa ndio utaratibu wake...akitaka kunyonga anapiga tu simu...ukizingua anapigiwa mwenzio.
mmmh mimi ni tf tofauti kabisa anae mtu wake bwana usinitafutie case humunilipewa mkwara na tf kuwa nisisogelee wala nisibishe kwako atakuwa amejaa tele kula pilau la eid
basi ikabidi nitulie tuu nyumbani
dah kumbe ndo zenu lakini poa tu mimi mpenzi wangu akinikaribisha kwake nadhani kwangu anapoint zaidi mtu anakupeleka magest yote mjini bwana aaagh