Hebu tudiscuss hii bajeti
Unampeleka lodge, may be 30,000
Unakod taksi, au unaweka mafuta ya 20000
Ukifika mnaagiza misosi (minimum chips kuku) 20000
Mnapiga 1 moto, 1 baridi 12000
Mnafanya mambo, asubuhi, au mkimaliza unamchapa per diem yake 30000 (minimum)
Unamkodishia teksi tena kurudi kwao 10000
Jumla 122,000/=
Unakuwa umepiga bao mbili!
Hii ni sawa na 61,000 kwa kila bao!
Kwa mtaji huu kama nina geto... huniambii kitu sijui tutoke, never
mmmh mimi ni tf tofauti kabisa anae mtu wake bwana usinitafutie case humu
Hebu tudiscuss hii bajeti
Unampeleka lodge, may be 30,000
Unakod taksi, au unaweka mafuta ya 20000
Ukifika mnaagiza misosi (minimum chips kuku) 20000
Mnapiga 1 moto, 1 baridi 12000
Mnafanya mambo, asubuhi, au mkimaliza unamchapa per diem yake 30000 (minimum)
Unamkodishia teksi tena kurudi kwao 10000
Jumla 122,000/=
Unakuwa umepiga bao mbili!
Hii ni sawa na 61,000 kwa kila bao!
Kwa mtaji huu kama nina geto... huniambii kitu sijui tutoke, never
kumbe ni chimbo tu basi hapo unadanganyika shostithanx guys,,. Ila nikisema kwake cmaanishi ndo nyumban no,.. Anaish temporarly 2 na friends afta a year anasepa kwao ni mkoa.,,
Mkuu umesahau na durex 4,000
jumla 126,000.-
unakuwa na mahusiano na m2, umemtembelea mara mbili anapoishi, den akikwambia amekumis still anataka uende kwake, ukimwambia twende sehemu nyingne hatak anataka kwake, sasa is he right ukikataa anakasirika anadai unawanaume wengine,.. hii inakuaje? is he in love au interested in other thngs? au anaogopa watu?
ha ha ha ,,.. nikisema outn cmaanishi nataka vyote hvyo no,.. npo tayar kama ni dala dala 2napanda tena hata nauli ntalipa mm cpend kuwa dependent kwake kwan bado hatujaoana,.. wat i needed ni jst kurefresh me na yy 2,.. wala vi2 vingne havihucki hapo. nw nimepata point alikuwa anaogopa gharama wakat mm nilikuwa chitaj hvyo vyote,..

completely mabata mabata ya mtoni..............
sijui hata Rose1980 yuko wapi atupe verse...........[/COLOR]
ila amejitahidi amekupeleka hata home mi nampa 50%.wengine ni wendo wa invisible tu
Wala sio kwamba anaogopa gharama my dia, huyo kukuitia kwake anataka ale mzigo tu hana lolote hapo so akili kumkichwa.