Hii inakubalika??

Duh! hilo bonge la strategy, hili litakuwa jimbo lile la zitto
 
He maskini...na hii itakuwa ni strategy kwa maeneo mengi ya vijijini..
CCM Nimewavulia kofia..sasa kama wanapendwa matangazo ya hivi ni kwaajili gani??????
 
Hii ni kuonyesha kuwa hata kama unaishabikia sana ccm basi ukienda sokoni hali bado ngumu.
 
Naona jinsi gani watu wetu wengi hasa vijijini bado ni WADANGANYIKA.
Waache waende leo sokoni kupata punguzo la bei ya bidhaa halafu watoto wao zendelee kukalia mavumbi, watembee uchi ama wawe wanavaa fulana za CCM na wamama wajawazito waendelee kulala mzungu wa nne.
Ooh nimesahau, waendeelee kulala gizani kwakuwa umeme haupo (thanks kwa wajasiria malio wanaoleta umeme jua siku hizi, japo matanga mnayapunguza) na wendelee kubaki na MAHANDAKI wanayodanganywa kuwa eti yanaitwa "BARABARA"

Mimi siupendi unafiki na ushabiki usio na mantiki, lakini MNAFIKI NA SHABIKI ASIYEJUA ASHABIKIALO huyo simpendi KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…