The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Haya kwani na wewe unatoa kikombe??? Halafu uporoto haujamtorosha kweli Michelle kutoka nyumbani kwao??Hahaha! TF na Kloro,Michelle yupo hapa nyumbani infakti anapika chai huku kavaa kanga moja,kama ana maradhi namtibu mwenyewe lol!
Mimi natibu kivingine kikombe hakihusiki lol! na Michelle kaja mwenyewe.Haya kwani na wewe unatoa kikombe??? Halafu uporoto haujamtorosha kweli Michelle kutoka nyumbani kwao??
Ahaaaa ahaaaa ahaaa haya kamandaMimi natibu kivingine kikombe hakihusiki lol! na Michelle kaja mwenyewe.
khaaa! namie naomba maombi ya zarura! na hako ka dawa ka lizzy mie naomba kaovadozi, naomba maombi yafanywe haraka sana niko mahtutiMama Mchungaji Lizzy ndio anafanya maombi ya dharura ila nimesikia naye anatoa dawa
hehehe kamanda bana! inaonekana dozi yako ina miko sana.mgonjwa hata JF haluhusiwi kugusaMimi natibu kivingine kikombe hakihusiki lol! na Michelle kaja mwenyewe.
Ahaaaaa ahaaaa ankal nina wasiwasi na wewe kuomba ovadozi aiseee:lol::lol::lol::lol:khaaa! namie naomba maombi ya zarura! na hako ka dawa ka lizzy mie naomba kaovadozi, naomba maombi yafanywe haraka sana niko mahtuti
wewe subiri tu kataninyima huduma, sijapata kuona kamama mchungaji kachoyo kama haka ka lizzy lakini nitapeleka mashtaka kunakohusika kanyang'anywe cheo. kondoo tunaumia yeye hakatupatii huduma. bwana asifiwe! tusemeni aamenAhaaaaa ahaaaa ankal nina wasiwasi na wewe kuomba ovadozi aiseee:lol::lol::lol::lol:
amen, amen amen yaani mama mchungaji anakunyima kukupa huduma nitakusaidia kwenye kufikisha malalamiko yako sehemu husikawewe subiri tu kataninyima huduma, sijapata kuona kamama mchungaji kachoyo kama haka ka lizzy lakini nitapeleka mashtaka kunakohusika kanyang'anywe cheo. Kondoo tunaumia yeye hakatupatii huduma. Bwana asifiwe! Tusemeni aamen
Akija JF konsentresheni ya matibabu itapotea.hehehe kamanda bana! inaonekana dozi yako ina miko sana.mgonjwa hata JF haluhusiwi kugusa
Utaumia macho na moyo bure kaangalie kule kwenye thread ya Liz tayari kaanza kunimiss(sio maneno yangu bali yake mwenyewe).Nawaangalia tu . . . .:juggle:
heheeh hii CPU karibuni itakumbwa na virus. haelewi kama malegend tulienda vacation tu na sasa tumerudi. CPU wewe koga tu lakini mjini hauendi kabisa yaaniUtaumia macho na moyo bure kaangalie kule kwenye thread ya Liz tayari kaanza kunimiss(sio maneno yangu bali yake mwenyewe).
wewe subiri tu kataninyima huduma, sijapata kuona kamama mchungaji kachoyo kama haka ka lizzy lakini nitapeleka mashtaka kunakohusika kanyang'anywe cheo. kondoo tunaumia yeye hakatupatii huduma. bwana asifiwe! tusemeni aamen
Nawaangalia tu . . . .:juggle:
Utaumia macho na moyo bure kaangalie kule kwenye thread ya Liz tayari kaanza kunimiss(sio maneno yangu bali yake mwenyewe).
maneno kama haya niandikie huku PM, hapa wanuka jasho wataniloga
Khaaaaa!Heheheh....nakupa live ili HUBBY aone sidanganywi hata na KLOROKWININI!!!
Habari ndo hiyo!Khaaaaa!