Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,627 Reaction score 38,689 Nov 27, 2018 #1 Jezi za mbabane zinauzika kama njugu huko mitaa ya twiga Tukutane taifa Uzalendo mwisho leo
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,806 Reaction score 5,347 Nov 27, 2018 #2 Sawa msijemkazikimbia hizo jezi kesho, zinunueni na mje Kwa wingi uwanjani tupate kiingilio cha kutosha alafu tuwagongeshe sakafuuu
Sawa msijemkazikimbia hizo jezi kesho, zinunueni na mje Kwa wingi uwanjani tupate kiingilio cha kutosha alafu tuwagongeshe sakafuuu
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,627 Reaction score 38,689 Nov 27, 2018 Thread starter #3 Uli msipate mapato tutakaa nje na jezi zetu tunavaa ndani nje tunavaa nyekundu kusubiri fungulia mbwaa..hahahah nkuwi said: Sawa msijemkazikimbia hizo jezi kesho, zinunueni na mje Kwa wingi uwanjani tupate kiingilio cha kutosha alafu tuwagongeshe sakafuuu Click to expand...
Uli msipate mapato tutakaa nje na jezi zetu tunavaa ndani nje tunavaa nyekundu kusubiri fungulia mbwaa..hahahah nkuwi said: Sawa msijemkazikimbia hizo jezi kesho, zinunueni na mje Kwa wingi uwanjani tupate kiingilio cha kutosha alafu tuwagongeshe sakafuuu Click to expand...
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,806 Reaction score 5,347 Nov 27, 2018 #4 hazard cfc said: Uli msipate mapato tutakaa nje na jezi zetu tunavaa ndani nje tunavaa nyekundu kusubiri fungulia mbwaa..hahahah Click to expand... Mikusanyiko isiyokuwa na kibali mtapewa kipigo cha mbwa Koko!
hazard cfc said: Uli msipate mapato tutakaa nje na jezi zetu tunavaa ndani nje tunavaa nyekundu kusubiri fungulia mbwaa..hahahah Click to expand... Mikusanyiko isiyokuwa na kibali mtapewa kipigo cha mbwa Koko!