Hakuna anayejali JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 418 Reaction score 526 May 7, 2024 #1 Shirika la umeme Tanzania wakati mwingine mnalipa fidia kwa uzembe, au kusababisha hasara na majeruhi kwa kutofanya ukaguzi kwenye nguzo za umeme. Mfano tazama nguzo hiyo ilivyooza.
Shirika la umeme Tanzania wakati mwingine mnalipa fidia kwa uzembe, au kusababisha hasara na majeruhi kwa kutofanya ukaguzi kwenye nguzo za umeme. Mfano tazama nguzo hiyo ilivyooza.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 May 7, 2024 #2 Na wala Hakuna anayejali kabisa.
HORSE POWER JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 2,238 Reaction score 1,577 May 7, 2024 #3 Hapo mpaka aje Waziri Mkuu
Hakuna anayejali JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 418 Reaction score 526 May 7, 2024 Thread starter #4 Mbona hatari🙆
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 May 7, 2024 #5 Hakuna anayejali said: Mbona hatari[emoji134] Click to expand... Ni wapi hii mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayejali said: Mbona hatari[emoji134] Click to expand... Ni wapi hii mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayejali JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 418 Reaction score 526 May 7, 2024 Thread starter #6 Manispaa ya Songea
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 May 7, 2024 #7 Hakuna anayejali said: Manispaa ya Songea Click to expand... Mtaa na kata gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayejali said: Manispaa ya Songea Click to expand... Mtaa na kata gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayejali JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 418 Reaction score 526 May 8, 2024 Thread starter #8 msakaa jr said: Mtaa na kata gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kata ya msamala mtaa wa miembeni.
msakaa jr said: Mtaa na kata gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kata ya msamala mtaa wa miembeni.
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 May 8, 2024 #9 Hakuna anayejali said: Kata ya msamala mtaa wa miembeni. Click to expand... Unaweza kuipiga picha kwa upana ili ijulikane ipo miembeni sehemu gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayejali said: Kata ya msamala mtaa wa miembeni. Click to expand... Unaweza kuipiga picha kwa upana ili ijulikane ipo miembeni sehemu gani? Sent using Jamii Forums mobile app