P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
Jua letu linachukua miaka milioni 250 ( 200 light years )kuzunguka Njia ya Milky Way.
Kwa ujumla, Njia ya Milky Way ina upana wa takribani miaka ya mwanga 100,000 na upana wa miaka ya mwanga 1,000. Mfumo wetu wa jua upo takribani miaka ya mwanga 26,000 kutoka katikati ya galaksi hii.
Kama hilo halitoshi kukushangaza, jua letu ni moja tu kati ya nyota bilioni 200 katika Njia ya Milky Way. Kwa hivyo, wanasayansi wanakadiria kuwa kuna hadi sayari trilioni 3.2 katika galaksi yetu.
Na kumbuka, haya ni makadirio kwa galaksi yetu pekee.
Kwa mujibu wa NASA, kuna takriban galaksi trilioni 2 katika sehemu inayoonekana ya ulimwengu visible space.
Soma zaidi: Our Milky Way Galaxy: How Big is Space? - NASA Science