Binti yangu ananiambia hua anakua na hamu sana na blid na inapokua inachelewa anakosa hadi raha, akianza tu analazimika kunusa pedi alotumia hadi nusu saa muda mwingine.
Jaman ndugu zangu, huu ni ugonjwa au tatizo ni nini mana sijawahi sikia ndo yeye wa kwanza