Hii inashangaza kwelikweli........

Hii inashangaza kwelikweli........

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Hivi inakuaje kijana wa kiume ulikuwa na mahusiano na msichana fulani baadae unamucha tena kwa kejeli nyingi,baada ya kuona dada wa watu kapata jamaa mwingine anayemjali na kumpenda unaanza kuingilia kati kwa kumtusi msichana huyo na mpenzi wake mpya,hii tabia yaonyesha kwanza hujiamini na ni limbukeni kabisaaaa....
 
Kweli huo ni ulimbukeni, karoho kana muuma akikumbuka utamu wa pipi aliyoitema.
 
Hapa mkuu naona sio ushauri unaomba.. ni message una deliver, hopefully mhusika ujumbe umemfikia...
 
Ujaua neno Mapenzi nkitu kikubwa sana tena kwa mtu ambaye umeachana naye lakini ukiwa unampenda inawia vigumu kuona anampenda MtuMwingine.
 
Da mbona kama umegonga ikulu?
 
Hivi inakuaje kijana wa kiume ulikuwa na mahusiano na msichana fulani baadae unamucha tena kwa kejeli nyingi,baada ya kuona dada wa watu kapata jamaa mwingine anayemjali na kumpenda unaanza kuingilia kati kwa kumtusi msichana huyo na mpenzi wake mpya,hii tabia yaonyesha kwanza hujiamini na ni limbukeni
kabisaaaa....
Wewe kwanini unabadilsha badilisha wanaume hivyo ukiachwa na wa kwanza si utulie uendelee na masomo yako ama nini una miss?
Hhahahahahahhahaa.
 
Ujaua neno Mapenzi nkitu kikubwa sana tena kwa mtu ambaye umeachana naye lakini ukiwa unampenda inawia vigumu kuona anampenda MtuMwingine.

sasa kwann umuache wakati bado unampenda tena unamucha kwa mi kashfa kibao,je kweli huo ni upendo kweli?
 
pole mwaya,ndio ujifunze next unapembua huyo mtu unayetaka kuwa naye kny mahusiano,kama kakaa kisharobalo unampotezea,
 
Wewe kwanini unabadilsha badilisha wanaume hivyo ukiachwa na wa kwanza si utulie uendelee na masomo yako ama nini una miss?
Hhahahahahahhahaa.

duuh naona umenipa jinsia ya kike wakti si hivyo,na pia umenirudisha shuleni ilhali mimi si mwanafunzi.ipo hivi bra;yani kijana unamuacha girl wako then baadae baada ya kuona yupo na mtu mwingine unaanza kutuma sms za matusi kwa huyo girl pamoja na mshkaji wake mpya,nadahi umenielewa!
 
Naomba nifafanue kidogo naona watu wanadhani mimi ni msichana;
ipo hivi,mimi ni kijana wa kiume,few months ago nilipata nafasi ya kuwa na mpenzi mpya wa kike mabaye baada ya kuwa naye kwenye mahusiano kwa muda akanielezea histoeia yake ya kimapenzi ikiwemo ya kuumizwa katika mpaenzi.Alinisimulia juu ya mahusiano yake ya mwisho kabla ya kuwa na mimi kwamba alikuwa na jamaa ambye alimpenda kweli,baadaye jamaa akapata msichana mwingine,akaanza kumfanyia vituko mbalimbali hatimaye akamuacha kwa maneno kibao na ya kufedhehesha,binti akaamua kupoakea hali hiyo na kumuacha jamaa aende zake.Sas kazi imekuja jamaa baada ya kuona mi nimempata huyu binti na tunapendana(napenda niseme kuwa simfahamu huyu jamaa wala sijawahi kumuona) ameanza kutuma meseji za matusi kwangu mimi na kwa yule demu,sasa hapo ndipo ninapopata shida,mi sipendi malumbano hasa ya kimapenzi,ila nadahni ile Thread ya POWER OF LETTING GO inahusika sana.nadhani nimeeleweka.
 
mpotezeeni tu akiona hamuhangaiki nae mwenyewe atatulia!
 
Back
Top Bottom