Hii inawahusu wanaume wenzangu wote wenye haiba za kike.

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
1. Mwanaume unajichubua una dressing table kabisa unajua macrem yote ya kina Mama * wewe ni jipu !*
2 .Mwanaume unachati na msela afu unamwita wangu /my *Tabia za kishoga hizi *
3. Mwanaume unaogopa mende , pany , giza au kulala mwenye ! WW NI MWANAUME HEWA
4. Mwanaume uko too submissive kwa mkeo . Yaani Mke. ndio anakuamulia cha kufanya . Umeshikiliwa akili ! UNALELEWA
5. Mwanaume unaangalia nirvana , Wanawake life , na shilawadu tunakutakia happy women 's day to you
6. Mwanaume unaoga oga sana kama Dada zako [mara 3 kwa siku ] unakaa bafuni nusu saa ! happy women's day to you
7. Mwanaume una andika text unajibu " ,k , pw , thx , unaandika ' Jomooni , akuu , ww pia tukutakie happy women's day to you
9 . Mwanaume unapiga selfie unang 'ata lips! happy women 's day to you
 
1; Mwanamme unalala uchi bila hata boxer
2: Mwanamme unatoka kuoga unakaa kwenye dressing table unapaka mafuta hadi matako

Kapate chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi kabla foleni haijawa kubwa
 
Hiyo namba 7 kuna some of my friends natamani waione,huwa nachukia sana hayo majibu aisee..

Alafu ananijibu yeye anaona kawaida kabisa,that's not normal aises
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…