Kuoga 3x ni usafi binasfi.Oooh kumbe mengine kaongea ukweli
Ndiyo, Kaongea ukweli, Ni ukweli mtu, Kakosea kidogo tu hapo kwenye kuoga maana kwa dini ya Kiislam wana utaratibu maalum ktk kuoga kutawadha n.k.Oooh kumbe mengine kaongea ukweli
[emoji16][emoji16][emoji16]Wakikusikia
Labda, Lakini sidhani kama Bujibuji anaweza kuwa mtu wa kioo unyunyu unyunyuTabia za bujibuji hizo....
Hah hah haaaa weee Miss Natafuta una shida gani na mimi?Tabia za bujibuji hizo....
I pay much homage to youLabda, Lakini sidhani kama Bujibuji anaweza kuwa mtu wa kioo unyunyu unyunyu
Namba mbili inakuhusu mzee...Hah hah haaaa weee Miss Natafuta una shida gani na mimi?
Miss Natafuta niache nilale, yaani Giza likianza tu unataka nikupelekee mikito. Hebu tulia niwaze maisha Kwanza. Huu mchi upo kwa ajili yako, usikondeNamba mbili inakuhusu mzee...
Wewe unajiona uko sawa....
1.Sivuti bangi.Huvuti bangi.
Hunywi pombe.
Hujawahi kupigana.
Kama hujawahi kufanya hata jambo moja hapo juu.
Tafadhali nenda kwa mwenzio james.
Na ndo mana unaitwa mwanaume1.Sivuti bangi.
2.Sinywi pombe.
3.NIMEWAHI KUPIGANA.
Uongo huo, hata musoma wapo haoWatakuwa Wanaume wa Dar