STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Hivi inakuwaje unaanza uhusiano na mtu halafu
unakuwa unamcompare na Ex wako? Mara ooh ex
wangu hakuwa analala chali kama wewe, mara ex
wangu alikuwa hachat kama wewe, alikuwa
ananiletea maua we huleti,
SO WHAT??...My friend,
ukinicompare mimi mara 2 tu!
ni-delete kwenye Phonebook yako, kama unampenda Ex please go
back kwake,
hii inawacost sana,mtacompare mpaka
aina ya nanii na naniii.PLEASE DONT DO THAT