Kweli mkuu umenena vyema..Hivi inakuwaje unaanza uhusiano na mtu halafu
unakuwa unamcompare na Ex wako? Mara ooh ex
wangu hakuwa analala chali kama wewe, mara ex
wangu alikuwa hachat kama wewe, alikuwa
ananiletea maua we huleti,
SO WHAT??...My friend,
ukinicompare mimi mara 2 tu!
ni-delete kwenye Phonebook yako, kama unampenda Ex please go
back kwake,
hii inawacost sana,mtacompare mpaka
aina ya nanii na naniii.PLEASE DONT DO THAT
Sasa kama kulinganisha ni raha si ajilinganishe mwenyewe wapi alipobugi mpaka wakatengana na ex wake???Kulinganisha ni jambo jema, kwani ni moja ya njia ya kufanya tathimini ya jambo ili kulifanikisha kwa kiwango cha juu iliulitofautishe na lile la awali.
Vibaya tathimini hiyo kumwambia muhusika.Ila kama unafanya kimya kimya kwa lengo la kuboresha PEZI sio mbaya.