Jamani kuna ishu nimeipata, inasemekana yule mgombea urais aliyekua akituvutia wakati wa kampeni kutokana na kupiga push-ups baada ya kumchagua nasikia tumebadilishiwa ndio maana mnaona kama sio yeye, sio yeye kabisa
Situmii bangi mimi
Hata ukinichukia haina tatizo
Sikukutuma ukashinde kwenye foleni ya kupiga kura[emoji23] [emoji23]