Hii inaweza kutokea kweli katika soka??

Inawezekana, yaani hiv pale timu inapoanzisha mpira, ikapiga pasi yenyewe tu bila wapinzani kugusa mpira wala kubroke pasi Ndo inakuwa hivyo mkuu...
 
jana wakati wa mechi ya Huddersfield vs Man city
ilikuwa hivi ball possesion
8% 92%
SHORT ONTAGERT
HUDDER 0 MAN CITY 2
GOAL SCORE
HUDDER 1 MAN CITY 0
 
Inawezekana, yaani hiv pale timu inapoanzisha mpira, ikapiga pasi yenyewe tu bila wapinzani kugusa mpira wala kubroke pasi Ndo inakuwa hivyo mkuu...
Hapa ilikuwa ni Full Time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…