Unaweza kuwa mlikula nyama ya MBWA,
Mnaweza kuwa hiyo nyama ilitengenezwa kwa mafuta ya jenereta,
Ushauri: Nenda kwa daktari ukapime upate kujua tatizo
Nilipoona hii comment kwanza nikaingia mtini... Nilitapika usiku nilikuwa nafikiria labda nilikula nyama ya MBWA... Nilienda kwa daktari nilapewa vidonge vinaitwa celestimine kama sikosei.. Nilikunywa kimoja tuu kuwashwa kukapungua... Nimepona sasa lakini bado nina makovu ya kujikuna..Mkuu nimecheka sana,utasababisha jamaa akose amani kabisa
ulikuwa wapi;?, dar najua mbuzi kwenye bar ni uchafu tu. mbuzi mikoani fresh from village anatiwa kisu analiwa na kichuri chake sasa kama ni bongo hapo lazima ni kaumbwa kadogo tu.
Jamani yamenikuta hiyo juzi! Nilikula nyama ya mbuzi kwenye bar moja hivi mimi na rafiki yangu.. Baada kama ya nusu saa hivi nikaanza kuwashwa mwilini sana... Mpaka leo ndio imepungua... Nikamuuliza rafiki yangu nae kasema aliwashwa kama mimi...! Hii inaweza kuwa imesababishwa na nini?
mkuu Kibada hapa kwenye red nahisi ndio tatizoHuwa una kawaida ya kula mbuzi? Inawezekana ukawa na allergy tu. Pia inawezekana kuwa mafuta yaliyopikia yakawa na reaction kwako (japo sidhani kama ni coincidence kwenu wote wawili itokee)
Kuna kitu inaitwa toxicology. Inawezekana mbuzi mliyekula alikuwa amekula jani lenye sumu fulani kabla hajachinjwa, na hiyo ikawapa reaction kidogo. Jaribu kula tena mbuzi in the same venue uone reaction yake.
(Au kwa sababu hukum'bebea memsahib nae kidogo akakulaani, hehehe)
Nilipoona hii comment kwanza nikaingia mtini... Nilitapika usiku nilikuwa nafikiria labda nilikula nyama ya MBWA... Nilienda kwa daktari nilapewa vidonge vinaitwa celestimine kama sikosei.. Nilikunywa kimoja tuu kuwashwa kukapungua... Nimepona sasa lakini bado nina makovu ya kujikuna..