Hii inawezekana?

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
430
Reaction score
61
mtu amesoma degree ya IT,then akafanikiwa kusoma na post graduate diploma ya business administration PGDBA,sasa anataka kusoma masters lakini kwenye field ya education,lengo lake ni kuja kuwa mwalimu,je ataruhusiwa wakati huku chini hajasoma kabisa mambo ya education?ufahamu wenu wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…