Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mimi na wadogo zangu watano tunafanana tarehe ya kuzaliwa. Jan,June na December
Ndio inavyotakiwa mkuu [emoji2]Itakuwa alihifadhi mabao kwenye chupa
Lakini Mimi na mama shaibu wangu tumefyatua watoto kama ngazi?
Hii si ina gharama sana?
Unataka kuifanya na wewe au?Ndio inavyotakiwa mkuu [emoji2]
Hii si ina gharama sana?