kindoki
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 213
- 218
Wadau, nimeona injini ya 3s ya Toyota rav4 vvti, ningependa kujua kama inaweza kuingiliana na zingine za kawaida kama 3s
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimpata fundi mzuri mwenye ujuzi utafanikiwa...Wadau, nimeona injini ya 3s ya Toyota rav4 vvti, ningependa kujua kama inaweza kuingiliana na zingine za kawaida kama 3sView attachment 1068408
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri mwanakwetu!!Ukimpata fundi mzuri mwenye ujuzi utafanikiwa...
Ila kumbuka mfumo wa vvti na teknolojia mpya ambayo haipo kwenye 3s...hivyo utalazimika kubadili na ECU ili sensors za vvti zisome.
Ila mzee baba inaelekwa unalipenda sana gari lako la Rav 4 old model...
Ushauri wa bure inaonekana hapo ilipofikia hiyo gari itakupa stress za kufa mtu..
Nimepost link za badhi za Uzi ulizowahi kuandika kuomba ushauri wa masuala ya engine.
Kwa mimi leo nashauri kwa mara ya mwisho..
Tafuta pesa kiasi agiza gari hata ndogo then uza hiyo rav 4 pesa yake ukombolee hilo jipya bandarini..
Ni ushauri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hii inaitwa 1AZWadau, nimeona injini ya 3s ya Toyota rav4 vvti, ningependa kujua kama inaweza kuingiliana na zingine za kawaida kama 3sView attachment 1068408
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja. Ataingia gharama kubwa zaidi na stress juu, na gari halitakaa vizuriUkimpata fundi mzuri mwenye ujuzi utafanikiwa...