HII INJINI YA RAV 4 VVTI INAWEZA KUINGILIAMA NA ZILE ZA 3S?

Wadau, nimeona injini ya 3s ya Toyota rav4 vvti, ningependa kujua kama inaweza kuingiliana na zingine za kawaida kama 3sView attachment 1068408

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimpata fundi mzuri mwenye ujuzi utafanikiwa...
Ila kumbuka mfumo wa vvti na teknolojia mpya ambayo haipo kwenye 3s...hivyo utalazimika kubadili na ECU ili sensors za vvti zisome.

Ila mzee baba inaelekwa unalipenda sana gari lako la Rav 4 old model...

Ushauri wa bure inaonekana hapo ilipofikia hiyo gari itakupa stress za kufa mtu..
Nimepost link za badhi za Uzi ulizowahi kuandika kuomba ushauri wa masuala ya engine.

Kwa mimi leo nashauri kwa mara ya mwisho..
Tafuta pesa kiasi agiza gari hata ndogo then uza hiyo rav 4 pesa yake ukombolee hilo jipya bandarini..

Ni ushauri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri mwanakwetu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja. Ataingia gharama kubwa zaidi na stress juu, na gari halitakaa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…