Hii interview imenishangaza

Vipi,hiyo kazi ulipata boss?
 
Ni huyu akiajiriwa serikalini ubunifu zero hajui hata Microsoft teams hata problem solving ni zero kazini. Mitaala ifundishe wanafunzi ubunifu pia kuendana na nyakati za sikuhizi
Wewe ushabuni nini kipya hapa duniani so far?
 
Dah. Kama sikosei ni among the Big 4 Auditing firms ndio wana utaratibu huo.omba Mungu upate kazi hiyo,wako serious sana hao.achana na upuuzi wa huko utumishi ulikozoea.
Sio Auditing firm mkuu.ni kampuni ya maswala mengine.
 
noted. nimepata kitu hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaishi dunia tofauti sana japo tunaonana kila siku. Itoshe kusema wasomi wetu ndio tatizo, elimu sio tatizo.
 
Ziko sahihi kabisa mm nimepata kazi kupitia zoom interview
 
Ni huyu akiajiriwa serikalini ubunifu zero hajui hata Microsoft teams hata problem solving ni zero kazini. Mitaala ifundishe wanafunzi ubunifu pia kuendana na nyakati za sikuhizi
Probability is "Yes"
 
Acha wenge
 
Yaani unatakiwa ufurahi kufanyowa interview ya aina hiyo,
Means position unayoiomba iko vzr, na kampuni pia iko vzr sana.
Congrats na all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…