Hii Interview ya kocha wa Simba inaonyesha ana uoga na derby

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
" Yanga wameshinda ligi mara tatu mfululizo na wapo pamoja kwa takribani misimu mitatu sasa tunawaheshimu na tunatambua ubora wao ... tumeandaa mchezo wetu kwa kuwaangalia na inatakiwa tuzingatie mipango yetu ili tuutawale mchezo kwasababu hata sisi ni timu kubwa "

" hii ni mechi muhimu katika ligi japo haiwezi kuamua bingwa kwasababu bado kuna mechi nyingi sana lakini tunajua umuhimu wa mechi hii na tutaweka sana umakini kwasababu wachezaji wengi ni wageni kwenye dabi "

- Fadlu Davids, Kocha Simba SC

#FutbalPlanetUpdates

Tofauti na interview ya derby iliyopita ambayo alijigamba sana
1729244612051.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
" Yanga wameshinda ligi mara tatu mfululizo na wapo pamoja kwa takribani misimu mitatu sasa tunawaheshimu na tunatambua ubora wao ... tumeandaa mchezo wetu kwa kuwaangalia na inatakiwa tuzingatie mipango yetu ili tuutawale mchezo kwasababu hata sisi ni timu kubwa "

" hii ni mechi muhimu katika ligi japo haiwezi kuamua bingwa kwasababu bado kuna mechi nyingi sana lakini tunajua umuhimu wa mechi hii na tutaweka sana umakini kwasababu wachezaji wengi ni wageni kwenye dabi "

- Fadlu Davids, Kocha Simba SC

#FutbalPlanetUpdates

Tofauti na interview ya derby iliyopita ambayo alijigamba sanaView attachment 3128595

"Maana hata sisi ni timu kubwa"
Kauli ya kutojiamini kabisa
 
Ukiacha ushabiki, Yanga wako bora kuliko Simba.
Hii inatokana na Yanga kujitahidi kulinda wachezaji wake wenye uwezo na kujitahidi kuongeza nguvu zingine.
Simba ndo wanajitafuta baada ya kujifumua sana. Hivyo Kufungwa Simba kesho sio kitu cha ajabu. Ila mpira kuna muda mwenye uwezo anafungwa na asiye na uwezo hii inatokana na makosa yanaweza kufanyika kwenye mchezo yakaweza kuwaadhibu hata yanga ambao wakokwenye ubora.

Hivyo anavyoongea kocha yuko sahihi anajua ubora haupo mkubwa Kwa Simba ila errors zozote watakazo fanya Yanga wanaweza zikawapa ushindi simba au hata dro.
 
Huyu ashikilie bomba kwa adabu, akikaa vibaya desemba haimkuti hapa.
 
Ukiacha ushabiki, Yanga wako bora kuliko Simba.
Hii inatokana na Yanga kujitahidi kulinda wachezaji wake wenye uwezo na kujitahidi kuongeza nguvu zingine.
Simba ndo wanajitafuta baada ya kujifumua sana. Hivyo Kufungwa Simba kesho sio kitu cha ajabu. Ila mpira kuna muda mwenye uwezo anafungwa na asiye na uwezo hii inatokana na makosa yanaweza kufanyika kwenye mchezo yakaweza kuwaadhibu hata yanga ambao wakokwenye ubora.

Hivyo anavyoongea kocha yuko sahihi anajua ubora haupo mkubwa Kwa Simba ila errors zozote watakazo fanya Yanga wanaweza zikawapa ushindi simba au hata dro.
Ila kwenye derby iliyopita alijitapa sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke mapepe akivunja ungo huwa na mawenge mawenge mpaka akipata ujauzito ndo anatulia. Yanga imevunja ungo tangu mwaka juzi, kuna siku tu atajazwa mimba wenge lifutike.
Hizo ni ramli[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom