"Maana hata sisi ni timu kubwa"" Yanga wameshinda ligi mara tatu mfululizo na wapo pamoja kwa takribani misimu mitatu sasa tunawaheshimu na tunatambua ubora wao ... tumeandaa mchezo wetu kwa kuwaangalia na inatakiwa tuzingatie mipango yetu ili tuutawale mchezo kwasababu hata sisi ni timu kubwa "
" hii ni mechi muhimu katika ligi japo haiwezi kuamua bingwa kwasababu bado kuna mechi nyingi sana lakini tunajua umuhimu wa mechi hii na tutaweka sana umakini kwasababu wachezaji wengi ni wageni kwenye dabi "
- Fadlu Davids, Kocha Simba SC
#FutbalPlanetUpdates
Tofauti na interview ya derby iliyopita ambayo alijigamba sanaView attachment 3128595
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyu ashikilie bomba kwa adabu, akikaa vibaya desemba haimkuti hapa." Yanga wameshinda ligi mara tatu mfululizo na wapo pamoja kwa takribani misimu mitatu sasa tunawaheshimu na tunatambua ubora wao ... tumeandaa mchezo wetu kwa kuwaangalia na inatakiwa tuzingatie mipango yetu ili tuutawale mchezo kwasababu hata sisi ni timu kubwa "
" hii ni mechi muhimu katika ligi japo haiwezi kuamua bingwa kwasababu bado kuna mechi nyingi sana lakini tunajua umuhimu wa mechi hii na tutaweka sana umakini kwasababu wachezaji wengi ni wageni kwenye dabi "
- Fadlu Davids, Kocha Simba SC
#FutbalPlanetUpdates
Tofauti na interview ya derby iliyopita ambayo alijigamba sanaView attachment 3128595
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kabsa mkuu...moto utawakaMbumbumbu tutajipigia kama ngoma
Japo wanasimba hawaitathimini hii kauli"Maana hata sisi ni timu kubwa"
Kauli ya kutojiamini kabisa
Ila kwenye derby iliyopita alijitapa sanaUkiacha ushabiki, Yanga wako bora kuliko Simba.
Hii inatokana na Yanga kujitahidi kulinda wachezaji wake wenye uwezo na kujitahidi kuongeza nguvu zingine.
Simba ndo wanajitafuta baada ya kujifumua sana. Hivyo Kufungwa Simba kesho sio kitu cha ajabu. Ila mpira kuna muda mwenye uwezo anafungwa na asiye na uwezo hii inatokana na makosa yanaweza kufanyika kwenye mchezo yakaweza kuwaadhibu hata yanga ambao wakokwenye ubora.
Hivyo anavyoongea kocha yuko sahihi anajua ubora haupo mkubwa Kwa Simba ila errors zozote watakazo fanya Yanga wanaweza zikawapa ushindi simba au hata dro.
Kabisa mkuu....mambo ni mazitoHuyu ashikilie bomba kwa adabu, akikaa vibaya desemba haimkuti hapa.
Kabisa mkuu...Yanga ishindwe yenyewe kushinda mechi ya kesho.
Hizo ni ramli[emoji23][emoji23]Mwanamke mapepe akivunja ungo huwa na mawenge mawenge mpaka akipata ujauzito ndo anatulia. Yanga imevunja ungo tangu mwaka juzi, kuna siku tu atajazwa mimba wenge lifutike.
Mkuu ..Kwan we hujaona??Ushabiki maandazi na kutengeneza tafsri zako mwenyewe
Sahihi mkuu [emoji23][emoji23]Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania