Hii Interview ya kocha wa Simba inaonyesha ana uoga na derby

Nimacho yangu ama?, hio jazi ina endorsement ya 'SANDA'.....hii ni kampuni gani...samahani, mimi si shabiki wa Yanga ama Simba!!!
 
Football psychology simba wana advantage kuliko yanga nadhani hata gamond kinachoendelea hapende football psychology contribute 80% of matchday results.
 
Inabidi mtu awe na kichwa kama cha mwendawazimu ili aweze kuamini kuwa uto kesho atachomoka mbele ya unyama mwingi! Hivi mnamjua ATEBA au mnamsikia tu?
 
"Maana hata sisi ni timu kubwa"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ–•πŸ–•πŸ–•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…