Hii ipoje, Forbes tajiri wao namba 1 duniani ana $billion 230 lakini Mohammad bin Salman ana $billion 500 na hatumsikii

Wewe wawapi??!!kwani hujui waarabu pesa zao za familia nzima sio mtu mmoja moja kama wazungu na forbes wanachunguza mbaka umiliki wa mtu mmojamoja sasa kwa asilimia kubwa waarabu ni urithi na za familia si wangetaja mbona dangote wanataja tu
 
Sijajua kwanini hao Forbes hawaingizi matajiri wa mafuta kwenye list zao, nahisi hao jamaa wenyewe hawapendi kuwemo ndani hizo list.
Hao waarabu mali zao ni za jumuiya yaani za kifamilia sio za mtu mmojamoja tofauti na wazungu mfano huyo mfalme wa saudia ni za kifamilia + urithi na forbes wanakupekua na umiliki sasa unakuta imeandikwa familia utasema yako🙄🙄🙄
 
Bilioni mia tano dollars siyo mchezo, aweke bank statement waswahili tuhakiki.
 
Huyo ni mwanasiasa na mtawala pia kutoka katika ufalme wa Saudi Arabia hivo anachomiliki sio halali ni kwa wizi ndo Mana hajawekwa kwenye hiyo orodha.

Kama ni kwa wizi si wamfunge sasa...!?
 
kuna totafuti ya mali binafsi na mali ya kampuni ambayo mtu ni majority shareholder. Na ni 320 B sio 500B

Collective wealth inamaanisha hizo hela sio zake pekee yake.
View attachment 1988170

View attachment 1988167

Nadhani kiasi cha pesa kimeonekana pungufu kwa sababu yeye amezungumzia thamani ya pesa kwa Dola za kimarekani na wewe ushahidi wako uko katika mtindo wa Pauni za kingereza.
 
Wewe utakuwa una matatizo.. unaweza kutuambia chanzo cha habari yako kuwa alinunua timu kwa dola billion 500? Au unatuletea habari za "ninasikia"...lete chanzo hapa
 
Arabuni matajiri wengi uwa wanatokana na falme zao ambao hela zao utokana na kodi na mali za wananchi eg.visima vya mafuta...

Ivyo matajiri wa kiaarabu hawana mali binafsi bali ni za wananchi,pia malkia wa uingereza, Rais Puttin ambae anasemekana kuwa ndie trillionaire wa kwanza ktk karne hii,ana utajiri wa USD trillion 2(USD 2,000 billions) ambapo asilimia zaidi ya 80 ni mali za wananchi.
 
Lakini juzi nimesikia mmiliki mpya wa Newcastle united Mohammad Bin Salman wa Saudia Arabia ana dollar za Kimarekani billion 500 wala sijawahi kumsikia Forbes wakimgusia hata kwa top 10000 yao hii sasa imekaaje?
Hizo sio pesa za MBS ila ni pesa za umma kupitia mfuko wa uwekezaji wa umma wa Saudia (PIF) yaani Public Investment Fund.
 
Yale magari na mabango ya bakhresa yasikudanganye mkuu!! Mo ana hela sana,Sana!! Kuna biashara amezishikilia Tanzania hii ni hatari
Unajibu kama unawasha data kwenye Tecno, unapaswa kujibu kwa kuelezea hizo biashara alizozishikilia ambazo ni hatari.
 
Wanasiasa na familia za kifalme mara nyingi pesa zao huwa wanazipata kwa kutumia vyeo vyao ndio maana hawawemekwi. Mfano Salman anasimamia mfuko wa familia ya kifalme sasa unategemea nn?
 
Umechanganya madesa mkuu.

Mohamed Bin Salman utajiri wake binafsi ni $23B wakati huo yeye pamoja na familia ndio utajiri wao unafikia $500

Kwenye shirikisho lao huyu MBS ndio mwenyekiti

Umeelewa sasa?
 
Yale magari na mabango ya bakhresa yasikudanganye mkuu!! Mo ana hela sana,Sana!! Kuna biashara amezishikilia Tanzania hii ni hatari
Mkuu biashara gani ya tofauti ikiwa karibu zote Ana mkopi bakhresa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…