Hii issue inanikosesha raha....naomba maoni yako


ni wewe queenkami?umepost ki-mod mod?ok nimekupata

back to the topic,unachokosa ni msimamo,uamuzi tayari umeshafanya,sasa Mc Tilly Chizenga anakuambia usigeuke nyuma utageuka kichuguu....maana jiwe la chumvi watu watakuchukua wakaungie mboga!mpotezee mwanzo mwisho!kama ni ulokole Mungu ndiye atakayekuhumu!
 

we kijana,yaani umekosa kabisa id name nyingine ukaona utumie jina la kiungo chetu?jiite hata NDEKULE!hilo jina achana nalo tutakudai haki miliki ohooo!
 
Nimeshindwa nikushauri kipi,7bu sijaelewa kilitokea nini...kutendwa kunatofautiana,haswa mazingira ya kutendwa.
 
basi kama bado unahitaji ushauri kuhusu swala hilo kuna njia nyingi unaweza kueleza tatizo linalofanana na hilo ukapata ushauri au unaweza ukasema shangazi yako kapatwa na matatizo hayo then ukapata ushauri pia kuwa mjanja wewe
 
Siwezi kushauri chochote coz mwanzo mwisho cjaelewa chochote, so may be ungefafanua zaidi
 
Umeokaka,hebu muone pastor alikaribu atakusaidia kamaj humu huwez kufunguka
 
Na we dada acha mambo ya ajabu, unaleta kivuli bila sababu. Kwani amekufanyia nn unashindwa kufunguka? We hutaki ushauri unaleta usumbufu, hata bible yenyewe kwenye kweli imesema hivyo hivyo.
 
Hata akieleza tatizo bado siyo,coz hataki kushauriwa juu ya kesi,nlivyomuelewa,anataka ushauri wa matokeo ya tatizo kuu na ndugu yake,sieti eh bidada!?
Ok,i knw how u feel,and siku zote usidhani majaribu ya shetan yanakuja na matarumbeta mama,ohoo yan hapo ndo panapohitajika kuvaa silaha zote kupambana nayo. Usisikilize wanaokulaumu,kama kweli yey ndo anamakosa af bado anajeuri,it means ameshajua your weakpoint,and that the bigest mistake.
Kwa ushauri,mshirikishe Mungu as a friend,hata kwa ndoto atakushauri atakupa amani na furaha,ila kwa saivi,IGNORE HIM/HER,Shika fifte zako,and pretend as if hajaexist,ukimsalimu asipoitika basi.LIVE UR LIFE DUDE,MAISHA HAYA NI TOO SHORT,HAPANA FUGA STRESS AND WE'L OL GET OuTA HERE DEADNAKED,BESIDES HAJAKUUMBA WEWE?RIGHT?
 
mh pole dear kwa yaliyokupata, naamini ni jambo kubwa ndio maana hutaki kufunguka, kama umeongea na mama ako na bado una mzigo moyon jarib kwa mtu mwingine unayemuamini hata kiongoz wako wa kiiman bkz Cry with someone. It's more healing than crying alone. kama unavyosema umeokoka jarib kusamehe ili uwe huru coz kwa kutokusamehe unajiumiza zaid ww mwenyewe ndg yangu, mungu akupe ujasiri wa kukabiliana na yaliyokupata.
Kuna uzi wa Mtambuz unaelezea namna stress zinavyosababisha kansa kwa wanawake, tafakar..................
kumbuka; Make peace with your past so it won't screw up the present.
 
pole naona ni jambo gumu kidogo ila unatakiwa kumuombea hata kwa kufunga huyo anatumiwa na ulimwengu wa kipepo kukuletea makwazo ili uanguke kiimani hapa naona huitaji ushauri mwingine zaidi ya kwenda kupiga goti kwajili ya nduguyo
 
Unatakaje ushauri wakati hauelezi ili isaidie ushauri uanzieje.

Mie nasema kambusu, mkumbatie, chezeni mpira, kimbieni basi mtarudisha undugu.

Ndugu sijui jinsia gani though. Au nimeiruka sijui.
 
Yan pamoja na kuandika kote lakini ueleweki! What are you hidding? I think you need nothing from us!

Are you under 18?
 
Kama unaogopa kuwa kuna watu wanajua id yako why usingekuja na new id?mi hata sielewi cha kukushauri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…