MBona na wewe unahusika ...Ina wenyewe!
Hama mitaa hiyo great thinker.watu wapo nyumbani kwa
wanaburudika na nyie majirani mnasikia?huko ni uswahilini mno na hapafai kukalika.
Kama una watoto mitaa hiyo itawaharibu
sasa kama nyumba ni yake ahamie wapi?
Habari gani wanajf? Me nina tatizo na hawa wa2 wa design hii! 2najua usiku ni mda wa kupumzika, mipango ya future kwa wahusika, kupeana uroda whether wa halali au usio wa halali. Ktk hili la uroda unakuta wahusika wanafanya mapenzi huku wakipiga kelele tena mapema tu saa2 pengine hata watoto wa majirani hawajalala wakisikia @ kitu, wazazi wao nao wakiwa hawana cha kusema wakibaki kutizamana tu. Hii imekaaje kwenu nyie mnaoface tatizo hili km mie? Nawasilisha.
sasa kama nyumba ni yake ahamie wapi?[ teh teh teheee....! Mtihani huo mkuu, mi namshauri afungue gereji ya pikipiki DT chumbani kwake humohumo..! Apige full tank, aondoe exhaust kisha atulize mpira tuliii... Mziki ukianza tu, "anakuwa bize saaana na matengenezo ya DT yake, - piga lesi za nguvuuu...!" si unajua tena mambo ya DT baba !??? Wenyewe watamfuata "mzee tafadhali tunaomba punguza kelele kidogo"- sasa hapo ndio pa kuweka mambo yako hadharani. Wataacha tu mkuu, huko uswazi dawa ya moto ni moto tu...! Ukiona wanaendelea kuwa wabishi siku nyingine wala usibishane nao, we endelea na mchakato wako wa gereji-- Kila mtu yuko chumbani kwake bwana. Mwanangu hii dozi ukiitoa siku tatu tu utatupa majibu. Mi nimeshakutana nayo haya baba...!]
mkuu ukisikia tu na wewe kamatia wako na wewe uanzemikakati..