Zegota
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 341
- 719
Habari zenu wakuu.
Mzee Ayo huko Arumeru amemaliza safari yake ya hapa Duniani, ni chanzo kikitajwa ni utapeli wa mtandaoni maarufu " Tuma Kwa namba hii"
Kwenye hili tuache unafikia hawa watu wa mitandao ya simu inawezekana wapo wengi sio waaminifu na wao ndio wanaoinjinia huu utapeli .
Natoa mfano
Binafsi nikiwa na pesa nyingi kwenye laini ya simu yangu muda mwingi napigiwa simu na nikipokea unakuta ni Hawa matapeli, wanakuwa wakisumbua na nikionesha kuwabaini wananitukana matusi na meseji pia za kitapeli zinakuwa nyingi
Sasa najiuliza wao wanajua vipi kama laini yangu inapesa kwa maana nikiwa Sina pesa kwa laini sipigiwi simu Wala sms Kwa wingi kama nikiwa nazo hili jambo hadi leo linanipa ukakasi.
Hapa inawezekana kama wafanyakazi wa hizi kampuni ni matapeli konki, ni vile serikali zetu hizi za ngozi nyeusi hazijali