Fakyuol Senior Member Joined Nov 26, 2023 Posts 148 Reaction score 325 Jan 20, 2024 #1 January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako?
January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako?
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,582 Reaction score 26,053 Jan 20, 2024 #2 Fakyuol said: January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako? Click to expand... Mim pia naona hivo aiseh
Fakyuol said: January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako? Click to expand... Mim pia naona hivo aiseh
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 20, 2024 #3 Fakyuol said: January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako? Click to expand... Kwani mwezi umeisha?
Fakyuol said: January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako? Click to expand... Kwani mwezi umeisha?
fuentte JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 2,809 Reaction score 8,032 Jan 20, 2024 #4 Urefu au ufupi wa Januari husababishwa na unene wa mifuko yako mkuu. Ukiona January kwako imekua fupi jua haujaishiwa, ila kwa asiyenacho kwake January hii ina siku 45!
Urefu au ufupi wa Januari husababishwa na unene wa mifuko yako mkuu. Ukiona January kwako imekua fupi jua haujaishiwa, ila kwa asiyenacho kwake January hii ina siku 45!