Hii JBL flip 5 ni good music

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Baada ya kujishauri nichukue Aina IPi ya radio Kati ya Anker na JBL Nikaona wacha nivute JBL ni unyama mno Basi majuzi nikaingia mjini kununua redio brand za JBL Hawa jamaa redio zao zinapiga mziki mno Ila bei zao s zimechangamka Kidogo lakini ukinunua hutojutia Ukiweka blues ndo utalala kabisa [emoji847][emoji442]

Zipo Aina Ila kulingana na uchumi nikachukua flip 5 asee inapiga ndani ya maji balaa Kilichonivutia inatoa base nzuri na inapiga mziki uliochujika yaani kama kuna instrumental unazisikia yaani inshort hii ni Home theatre portable Na jamaa walioniuzia ni OG yaani ukisiliza Ngoma utajua ni og ama fake

Flip 5 price ni 250000Tsh

Kuna namna nyingine za kutambua kama fake au OG next nitaleta tips kugundua Hilo

#Jblharmankador[emoji91][emoji442]

 
Ubunifu mzuri wa tangazo, mpe chochote Maxence Melo kama shukurani
 

ni umasikini tu unatusumbua jaman,hivi vitu hata ukiazima kwa mwenye nacho ukasikiliza utapata hasira z akutafuta hela sana.

kuna jamaa alikuja na charger 5,ilikuwa ni kisanga hakuna wimbo utakuboa kuusikia.

juzi nilikuwa kkoo,nikakuta jamaa ana ya oraimo,imetengenezwa kama homepod ya apple ile first gen,wanauza 180000,nusra nichane wallet,kusikia huo mziki wake nikasepa bila hata kutoa maelezo ya msingi[emoji28]
 
Hahah dah ukatoka nduki,hizi JBL ukiiwasha tu unstuka kwanza ile sound ya power on

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni Oraimo gani, nina hii hapa
 
Jbl charger 5 iko kwa wazungu nasubiri shipping ifanyike. Wengine kusikiliza mziki ni burudani.

Jbl napenda speaker yake ilivyo tengeneza ni kusikiliza kwa mita chache sio kelele kama brand za kariakoo
 
no sio earphone ni speaker vipi hizi wireless zikp vyema au unga unga mwana??maana jamaa alinambia 60k
Huwa natazamia documentaries zaidi, sio mziki kwa sana ila zinafanya poa kiasi chake. Nilizichukua 75k mara tu zilipotoka
 
Kuna utofauti wa hzo charger 5 na flip 5 au ni majina tu….

Njoon watu wa mziki[emoji2][emoji2]
 
uzi tayari, na hiyo ndio uliyonunua bei sana kiasi kwamba uliweka blues usingizi ukapita na umeamka mda du na kuleta uzi ulio kamili na picha, safi sana nami ngoja niende chap kwa muhindi
Kabisa ndugu kama ulikwepo si niliweka Ngoma ya jide nikilala naota ILO vibe sio mchezo [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…